BashBuzz
BashBuzz
June 17, 2025 at 03:32 PM
Polisi wa Mombasa wameeleza sababu za kuwakamata waandamanaji wanne. Kamanda wa Polisi wa Kaunti Ndogo ya Mjini, Nicholas Chalulot, amesema waandamanaji hao hawakuwataarifu kwa wakati ufaao. Hata hivyo, wataalamu wa sheria wanasema kosa hilo si hatia kisheria. 📹 Kwa Hisani | The Eastleigh Voice

Comments