BashBuzz
BashBuzz
June 17, 2025 at 03:41 PM
Maandamano yameshuhudiwa katika kaunti za Pwani zikiwemo Mombasa, Kwale na Kilifi, huku hali ikiwa tulivu katika kaunti ya Lamu. Kaunti za Taita Taveta na Tana River nazo pia ziliripoti utulivu. 📹 Kwa Hisani | Mbarak FOLLOW & SHARE: https://whatsapp.com/channel/0029Vaj8RQeLikg9KyuSaP1F

Comments