
BashBuzz
June 17, 2025 at 06:26 PM
*LAMU*
Wavuvi wanne wamepotea Baharini kwa zaidi ya masaa 24 baadabya mashua yao ya uvuvi kuharibika kufuatia wawimbi na upepo mkali eneo la Pezalo, Lamu.
Opararesheni ya kuwatafuta inaendelezwa na Walinzi wa Pwani na Shirika la Msalaba Mwekundu

😢
1