BashBuzz
BashBuzz
June 18, 2025 at 09:59 AM
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amesema Iran haitaionea Israel "huruma" wakati vita vya anga kati ya maadui hao wa muda mrefu vikiingia siku yake ya sita licha ya mwito wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kutaka Iran isalimu amri bila masharti. Khamenei ameyasema hayo katika chapisho lake kwenye mtandao wa kijamii wa X na kusema: "Lazima tutoe jibu kali kwa utawala wa kigaidi wa Kizayuni. Hatutawaonea huruma Wazayuni."
Image from BashBuzz: Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei amesema Iran haitaionea I...

Comments