Hussein Ali Mwinyi

Hussein Ali Mwinyi

102.8K subscribers

Verified Channel
Hussein Ali Mwinyi
Hussein Ali Mwinyi
June 12, 2025 at 10:01 AM
Zanzibar inajipanga kuendelea kujenga miundombinu ya viwanja vya ndege ili kuiwezesha kuwa kituo bora cha utoaji wa huduma za usafiri wa anga. Nimeyasema hayo nilipofungua rasmi Mkutano wa Huduma za Usafiri wa Anga pamoja na Utalii Afrika, uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulip, iliyopo karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo tarehe 12 Juni 2025.
❤️ 👍 🙏 8

Comments