Prime Minister Tanzania

Prime Minister Tanzania

259.0K subscribers

Verified Channel
Prime Minister Tanzania
Prime Minister Tanzania
June 18, 2025 at 09:43 AM
Watafiti na Wapangaji wa Sera, wekezeni katika tafiti zenye tija kwa wananchi, ambazo matokeo yake yatatumika kutengeneza sera na mipango ya utekelezaji yenye kuleta mabadiliko halisi katika jamii-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa 📍Dar es Salaam-Tanzania 🗓️Juni 18, 2025
❤️ 🙏 4

Comments