
IKWETA INVESTMENT GROUP
June 3, 2025 at 05:22 AM
10,000 inaonekana kuwa kubwa na yenye thamani, lakini inapata thamani hiyo kwasababu ya ile 1 ya kwanza. Bila hiyo, kinachobaki ni 0000 ambazo haina maana yoyote
Vivyo hivyo katika Maisha, Afya ni msingi wa kila kitu. Ukiwa na Afya njema, unaweza kufanya kazi, kutafuta pesa na kufurahia Mafanikio yako
Huku ukiendelea na harakati za Maisha, usisahau kuweka kipaumbele kwenye Afya yako kwa kula vizuri, kufanya mazoezi, kupumzika vya kutosha na kuchunguza afya yako mara kwa mara
