
IKWETA INVESTMENT GROUP
June 15, 2025 at 07:23 AM
*Siku ya Baba Duniani*
✓✓Siku ya Baba ni fursa ya pekee ya kuonyesha shukrani kwa wale wanaotupatia nguvu, hekima, na upendo wa kweli.
✓✓Baba si tu mlezi, bali pia ni mlinzi, mshauri, na rafiki wa dhati. Leo, tukumbuke kuwa baba zetu ni nguzo ya familia, mwangaza wa familia , na mfano wa kuigwa katika maisha.
✓✓Kushukuru siku hii ni kuthamini juhudi, maumivu, na upendo usio na kipimo walioutoa.
✓✓Hebu tuwape heshima, tushukuru na tumuombe Mungu awaweke salama na kuwajalia afya njema. Kwa kila baba, asante kwa kuwa nguzo imara katika maisha yetu.
mimi ni Lugano.A.M
