GLOBIFY
GLOBIFY
June 15, 2025 at 01:00 PM
*🎬 NOWHERE (2023) - Survival Thriller Ya Kusisimua* Mia, mjamzito, anakwama ndani ya kontena lililoanguka baharini akisaka maisha bora. Akiwa peke yake, anapambana kuokoa uhai wake na wa mtoto wake mchanga katika mazingira magumu, yasiyo na chakula, mwanga wala msaada. 💡 Hadithi ya ujasiri wa mama, mapambano ya maisha na matumaini yasiyokufa. *Jiunge na Globify Movie kwa muhtasari wa filamu kali kama hii, mapendekezo bora na tips za kipekee kwa wapenzi wa sinema! 🍿* 🔗 https://chat.whatsapp.com/IJxRdHgugSGGM8oTGrYpsQ *GLOBIFY MOVIES*
Image from GLOBIFY: *🎬 NOWHERE (2023) - Survival Thriller Ya Kusisimua*  Mia, mjamzito, a...

Comments