GLOBIFY
GLOBIFY
June 16, 2025 at 08:35 AM
*GLOBIFY MOVIES* Maskini Janiyah, ni kama alilala na sauti ya bundi usiku uliopita.. Aliamka akaanza na mwenye nyumba, akaja Bosi wake kazini... Wakafuatia wateja, kisha mwalimu wa mtoto wake shuleni.. Hela ilimfikisha kwenye kila mlango, wa kugonga akihitaji apewe haki za kumuhudumia binti yake.. Bahati mbaya kila sikio liliziba, hakuna aliempa muda wala tumaini la ataionea wapi kesho yake.. Sio benki kwenye hela ya kula tu ya mtoto wake, sio barabarani, kwenye maaskari waliompa wakati mgumu zaidi.. Kazini alifukuzwa, mshahara wake akanyimwa, na majambazi wakawa kazini siku hiyo hiyo.. Afanye nini Janiyah, single mother mwenye malengo mazuri na kesho ya binti yake.. Hela yake mwenyewe benki, kuitoa imempa kesi ya ujambazi, what a day!.. Worth watch movie, taharuki nyingi, nani alitegemea ile hallucinations at the end!.. Mlilia?, poleni!, ila mlistahili.. Bonge la movie!.. NINJA.. *Jiunge humu upate tips za movie mbalimbali* - https://chat.whatsapp.com/IJxRdHgugSGGM8oTGrYpsQ *GLOBIFY*
Image from GLOBIFY: *GLOBIFY MOVIES*  Maskini Janiyah, ni kama alilala na sauti ya bundi u...

Comments