
GLOBIFY
June 16, 2025 at 08:55 AM
*GLOBAL RELIGION*
Karibu Katika Group La Mijadala Ya Dini & Imani Mbalimbali Duniani.
Hapa Tunajifunza, Tunachambua Na Tunaheshimu Tofauti Za Kiamani Kwa Kutumia Lugha Ya Hekima, Nidhamu Na Busara.
🌟 Tunasisitiza:-
✍🏼Heshima Kwa Kila Dini Na Imani
✍🏼Kuepuka Lugha Ya Matusi, Dhihaka Au Ukashifu
✍🏼Kutoa Elimu Sahihi Bila Kupotosha
✍🏼Ushirikiano Wa Kijamii Bila Ubaguzi Wa Kidini
🤝 Ungana Nasi Ili Kuchangia Maarifa Na Kujifunza Kutoka Kwa Wengine Katika Mazingira Ya Heshima Na Uelewano.
*🔗 Link Ya Kujiunga👇🏽:*
https://chat.whatsapp.com/CBNZyFNuxr6Hr2HPE4syke
*GLOBIFY*