
LIBRARY OF BOOKS📚📚
May 25, 2025 at 08:54 AM
Nguvu ya kuabudu kwa Roho na kweli huanza na utulivu wa Akili...
Kuna connection kubwa sana kati ya Ibada na akili zetu
Jitahidi sana ufanyapo ibada yako unganisha akili yako na Ibada unayo ifanya then Ibada yako itoke ndani ya moyo na si kufanya ili watu wakuone unafanya nini
`Mpendeze Mungu katika ibada yako yote unayo ifanya na si mwanadamu`
" *Akili ndicho chombo muhimu cha sisi kufanikiwa katika kila eneo la maisha yetu, hasa eneo la IBADA ni kiungo namba moja ambacho Mungu atakitumia kufanya upya nia Zetu"* from the books NAFASI YA UFAHAMU KATIKA KUSIFU NA KUABUDU By
Dr ipyana
Kuwa na Jumapili Jema
Keep learning 🤞 💚
Josiah Nashon

❤️
1