LIBRARY OF BOOKS📚📚
May 25, 2025 at 04:42 PM
*UNATAKA KUONA MABADILIKO KWENYE UZAZI WAKO?*
Kitabu hiki ni kwa ajili yako!
“NITAOMBEA UZAO WANGU”
_ni kitabu kilichojaa mafunuo, maombi ya nguvu, na mwongozo wa kiroho kwa wazazi wanaotamani kuona watoto wao wakifanikiwa, wakibarikiwa, na wakiishi maisha ya kiungu na mafanikio._
*Kimeandikwa na Mwalimu Bundala Komba Mlowla, mtumishi wa Mungu mwenye upako na uzoefu wa miaka mingi katika malezi na huduma ya maombi.*
Katika kitabu hiki utajifunza:
👉 Siri ya kuombea kizazi chako kisiharibiwe na dunia
👉Maombi maalum ya kila hatua ya maisha ya mtoto
👉Ushuhuda na mafundisho yanayogusa moyo
👉Jinsi ya kuvunja laana za kifamilia
👉Na mengi zaidi ya kiroho na kimafanikio!
ZINAPATIKANA KATIKA AINA MBILI:
Hardcopy (nakala halisi) na Softcopy (nakala ya simu/computer)
Usikose zawadi hii ya kipekee kwa ajili yako na familia yako!
PIGA/Andika UJUMBE SASA:
Simu: 0620 628 599
Usisubiri kuambiwa — pata nakala yako leo!
Bariki kizazi chako kwa maombi yenye nguvu!