
LIBRARY OF BOOKS📚📚
June 4, 2025 at 06:45 PM
🎓📚 PHARMACY SCHOOL
Safari ya Ukuaji, Maarifa na Uvumilivu
✍🏽 Paul Josephat Njige
Je, unajiandaa kujiunga na chuo cha pharmacy? Au tayari uko njiani na unahitaji mwongozo na motisha? Kitabu hiki ni kwa ajili yako! 💊💡
Katika Pharmacy School, mwandishi Paul Josephat Njige anashiriki safari yake ya kusisimua kupitia masomo ya pharmacy, changamoto, mafanikio, na masomo ya maisha aliyojifunza njiani. Ni kitabu kinachochochea, kinaelimisha, na kuhamasisha wanafunzi wa afya – hasa wale wa pharmacy – kufikia malengo yao kwa bidii na nidhamu.
📘 Kimejibu maswali kama:
👍Jinsi ya kustahimili presha ya masomo ya pharmacy
👍Mbinu bora za kujifunza na kufaulu
👍Jinsi ya kujenga mtandao wa taaluma mapema
👍Ushauri kutoka kwa wanafunzi waliopita njia hiyo
🔍 Kwa Nani Kitabu Hiki?
✅ Wanafunzi wa pharmacy (wanaoanza au walioko chuoni)
✅ Wanafunzi wa taaluma nyingine za afya
✅ Wale wanaotafuta motisha ya kitaaluma
✅ Mzazi au mlezi anayetaka kuelewa safari ya mwanawe
📦 Pata Nakala Yako Leo!
👉 Toa oda kupitia: 0766408259

❤️
1