
Safaricom PLC
June 2, 2025 at 06:47 AM
Kina mama oyeeeee 👌
Tumewaandalia mambo motomoto💥. M-PESA foundation itakua ground kuempower over 500 women-led groups kila region. Tegea hii mtaa kuget updates!
#mpesanation
