
Safaricom PLC
June 2, 2025 at 07:04 AM
Haloooooo!
Waswahili husema asiyekuwepo na lake halipo! Usije ukasema hukuambiwa!
Tunawaletea burudani, maandhari ya kufurahisha, vyakula na bidhaa kwa bei nafuu, bei ya jioni.
Mali safi, vibe poa kwako wewe, jamaa na rafiki zako.
Kosa uchekwe 🤌
#mpesasokonifest

👍
❤️
3