
Tanzania National Parks
June 15, 2025 at 05:47 AM
Baba huwa na majina mengi, wengine humuita Mzee👴, wengine Mshua wengine humuita Dingi, wengine Chifu wengine humuita Mzee wa Nyumba
Je wewe unamuitaje Baba yako??😀😀
📌Happy Father’s Day2025

❤️
👍
🙏
😂
😢
😮
65