
Wazaelimu
June 15, 2025 at 06:10 AM
*DIRISHA LA KUFANYA MAOMBI YA MKOPO 2025/26 LIMEFUNGULIWA LEO.*
TAARIFA MUHIMU ZA KUOMBA MKOPO (HESLB)
1. *TAARIFA ZA USAJILI*
Namba ya Mtihani wa Kidato cha IV & VI
📱 Namba ya Simu ya Mwombaji
📧 Email Address ya Mwombaji
💰 Ada ya Maombi: Tsh 30,000/= (Lipa kupitia Control Number ya Serikali)
2. *TAARIFA ZA KUZALIWA*
📅 Tarehe ya Kuzaliwa
🔑 RITA Verification Code (Kwa Bara tu – waliokamilisha uhakiki RITA)
📍 Mkoa & Wilaya Ulikozaliwa
🖼️ Passport Size (Blue background)
3. *MAELEZO YA MAKAZI YA KUDUMU*
✉️ S.L.P ya makazi
📌 Mkoa, Wilaya, Kata, Kijiji/Mtaa
🏡 Namba ya Nyumba
🏤 Post Code ya Mtaa
4. TAARIFA ZA WAZAZI/WALEZI
♿ Je una ulemavu?
👵 Mama yuko hai?
👴 Baba yuko hai?
♿ Wazazi wana ulemavu?
🧑🏫 Una mlezi?
🧾 Upo chini ya mpango wa tsifa wa kaya masikini? Yaani TASAF? (Kama ndiyo Andaa namba za usajili)
*Mama*
Jina kamili, Kazi, Namba ya Simu, S.L.P
Postcode, Mkoa, Wilaya, Kata, Mtaa
Elimu & Namba ya Nyumba
*Baba*
Jina kamili, Kazi, Namba ya Simu, S.L.P
Postcode, Mkoa, Wilaya, Kata, Mtaa
Elimu & Namba ya Nyumba
5. *TAARIFA ZA ELIMU*
📖 Je ulifadhiliwa kusoma sekondari?
🎓 Umehitimu Kidato cha Sita?
🧾 *Diploma Details (Kama ulisoma Diploma)*
Namba ya Mtihani
AVN Number
Chuo ulichosomea
Mwaka wa kuhitimu
6. *TAARIFA ZA MFADHILI (Kama ulifadhiliwa ukiwa unasoma)*
🧍♂️ Jin+a la Mfadhili
☎️ Namba ya Simu
✉️ Barua ya Ufadhili
📮 S.L.P ya Mfadhili
7. *TAARIFA ZA MDHAMINI*
🧑💼 Jina Kamili
🚻 Jinsia
📍 Mkoa, Wilaya, Kata, Mtaa
✉️ Email Address
🆔 Kitambulisho (NIDA / Kura / Leseni / Passport)
🖼️ Passport Size (Blue background)
🏠 Post Code & Namba ya Nyumba
8. *TAARIFA ZA BENKI*
🏷️ Majina ya Account (yawe kama kwenye vyeti vyako)
💳 Namba ya Akaunti ya bank
🏛️ Jina la Benki
9. *KWA WALIO CHUONI (Continous Students)*
🏫 Jina la Chuo
📘 Kozi Unayosoma
🔖 Registration Number
👍
🙏
❤️
😂
😢
31