
Superdolltanzania
June 12, 2025 at 04:26 PM
Karibu Superdoll, Service za magari yote zinapatikana!
Hapa tunalifanyia gari lako service mbalimbali kama vile;
1. Wheel Alignment
2. Wheel Balancing
3. Kubadilisha na kufunga tairi mpya kwenye gari lako.
4. Kubadilisha Oil, Filters na huduma nyingine nyingi.
Usiogope! karibu Superdoll, Service za magari zinapatikana kwa bei nafuu mno!
#superdollwecare
