
MACADAMS JOB OPPORTUNITIES
June 15, 2025 at 06:23 AM
🔹 1. Nurse (Muuguzi/Muuguzi Msaidizi)
Vigezo:
• Awe na cheti au diploma ya uuguzi
• Awe na usajili halali kutoka TNMC
• Uzoefu wa kazi utapewa kipaumbele
• Awe na maadili na kujituma
🔹 2. Pharmacy (Mfamasia/Msaidizi wa Dawa)
Vigezo:
• Awe na cheti au diploma ya famasia
• Awe na usajili wa baraza husika (PCPB)
• Uelewa wa utoaji sahihi wa dawa
• Awe makini na mwenye nidhamu
🔹 3. Dereva wa Ambulance
Vigezo:
• Leseni daraja C au zaidi (hai)
• Uzoefu wa kuendesha ambulance au magari ya wagonjwa
• Awe na elimu ya msingi au sekondari
• Kufahamu ramsa za huduma ya kwanza ni faida
*Eneo la kazi ni Kigamboni*
Maombi Yatumwe Kupitia WhatsApp:
📱 0616 348 095
(Tuma jina, nafasi unayoomba, na nakala ya vyeti husika)
🙏
3