MACADAMS JOB OPPORTUNITIES
MACADAMS JOB OPPORTUNITIES
June 16, 2025 at 06:15 AM
Good morning team!!nahitaji watu wa mauzo mbeya na morogoro wenye uzoefu wa mauzo usio pungua miaka mitatu akiwa amesha wahi kufanya kazi kwenye corporate world au amefanya bussiness to bussiness sales itafaa zaid. Cv zitumwe kwenye email [email protected]. Au 0699503501 Kindly share and reccomend
❤️ 1

Comments