
MACADAMS JOB OPPORTUNITIES
June 16, 2025 at 08:19 AM
Anahitajika binti wa kazi za ndani. Kufanya shughuli za nyumbani Kama vile, kupika na usafi.
*Vigezo*
1. Awe mkristo
2. Awe na miaka kuanzia 18-25
3. Awe na upendo na uaminifu
4. Awe msafi.
5. Awe anaishi maeneo ya Tegeta
*Mshahara* .
Atalipwa 70,000/= kwa mwezi na atapewa na nauli ya kwenda na kurudi nyumbani.
Usipige simu, tuma message 0767906351