MACADAMS JOB OPPORTUNITIES
MACADAMS JOB OPPORTUNITIES
June 16, 2025 at 08:31 AM
habari yako naomba unipostie nahitaji watu wawili wa jikoni 1. mtu anaejua kuandaa chips, nyama choma, kuku wa kuchoma awe anajua na kupika kiasi 2. mtu anaejua kutengeneza juice specials kama smoothies, milkshakes na mojito location ipo kigamboni, anaeomba awe msafi, anaejituma bila kutumwa, umri miaka 18+ kama anatokea mbali Kuna sehemu ya kulala hapo hapo ofisini 0682360066 mwisho tarehe 18/06/025 NB:USAFI MUHIMU

Comments