
MACADAMS JOB OPPORTUNITIES
June 18, 2025 at 07:15 AM
NAFASI: tunahitaji walinzi
VIGEZO:
Awe mtanzania
Mkazi wa Dar es salaam
Umri wa kuanzia miaka 22 na kuendelea
Awe na wadhami wawili
Anaeweza kufanya kazi maeneo haya..
(Sinza, ubungo, tabata, urafiki, mabibo, mwananyamala, mikocheni, kinondoni, kigamboni, Mbezi beach, Kawe)
Mishahara kuanzia 130,000 na kuendelea, inategemea na sehemu atakayolinda.
Aliye tayari kufanya kazi mawasiliano ni haya, atutafute kwa njia ya kawaida na sio WhatsApp
0696971904 au 0745762305
😂
😢
🙏
7