
MACADAMS JOB OPPORTUNITIES
June 18, 2025 at 11:10 AM
Hello dears, kwa Mara nyingine tena natafuta msichana mwenye uzoefu wa kufanya kazi katika mgahawa. Awe mwepesi sana.
Eneo la kazi=KIGOMA-UVINZA.
Akipatikana kutoka ndani ya mkoa wa Kigoma itapendeza sana. Tuwasiliane kwa namba 0621545004.
Akipatikana leo, ataanza kazi leoleo.
😮
1