
MACADAMS JOB OPPORTUNITIES
June 19, 2025 at 01:58 PM
*TAARIFA YA KAZI*
*MADEREVA WA MAGARI MAKUBWA-LORI*
KESHO IJUMAA, TAREHE: 20 JUNE 2025 KUTAKUWA NA TEST KWA MADEREVA HIVYO BASI KWA YEYOTE MWENYE NDUGU, JAMAA WA KARIBU AMBAYE ANAMJUA UJUZI NA UZOEFU WAKE KWENYE UDEREVA AMFIKISHIE TAARIFA HII.
PIA NI MUHIMI KUFIKA NA *LESENI*, *TIN*, *NSSF,* *PASSPORT* NA *NIDA* (MUHIMU SANA)
MUDA NI ASUBUHI SAA TATU.
Kesho tarehe 20 June, 2025
ASANTENI
Mahali: *ZAKHEM-MBAGALA* karibu na ofisi za Latra
Eneo la ofisi/yard linaitwa *TATO LOGISTICS*