
Conturetz (Interviews & Beyond)
June 9, 2025 at 05:51 PM
Wanahitajika walimu wa primary wa;
1. GEOGRAPHY (nafasi moja)
SIFA ni Degree. Tuma vyeti na CV inbox.
Uwe KIBAHA au jirani kwa ajili ya usaili wa ana kwa ana (physical interview).
*Shule iko KIBAHA PWANI.*
Mshahara makubaliano.
Uwe tayari kulipa commission 250,000 mara moja tu baada ya kupata kazi.
CENI JOB AGENCY DSM - 0759648187
Deadline 15/06/2025