Conturetz (Interviews & Beyond)
Conturetz (Interviews & Beyond)
June 15, 2025 at 07:05 AM
Wanahitajika walimu wa primary wa; 1. Mathematics and Science (Temeke) 2. Chemistry and Biology (Mbagala) 3. physics and mathematics (Mbagala) SIFA ni Degree. Tuma vyeti na CV inbox. Uwe eneo husika au jirani kwa ajili ya usaili wa ana kwa ana (physical interview). Mshahara makubaliano. Uwe tayari kulipa commission 250,000 mara moja tu baada ya kupata kazi. CENI JOB AGENCY DSM - 0759648187 Deadline 21/06/2025

Comments