Tech & Media Convergency (TMC)
Tech & Media Convergency (TMC)
June 13, 2025 at 06:11 AM
Je, Mifumo ya Kidijiti Inajitosheleza katika kutoa Huduma kwa Umma? Space hii itaongozwa na Robert Majige, TMC, pamoja na wazungumzaji wengine: 🎙️ Jacqueline Shuma - Mtaalamu wa Mawasiliano 🎙️ Anwar Said - Kiongozi wa Teknolojia na Uimarishaji Uwezo, TMC 🎙️ Davis Komba - Mwanasheria 🗓️ Ijumaa, 13/06/2025 | ⏰ Saa 12:30 - 2:00 Usiku 🔗 Jiunge nasi moja kwa moja hapa 👉 https://twitter.com/i/spaces/1ypKdZOmkeLJW #tdc2025 #tanzaniadigitalcollaboration #tmc
👍 👏 2

Comments