TAKUKURU

TAKUKURU

59.5K subscribers

Verified Channel
TAKUKURU
TAKUKURU
June 14, 2025 at 04:09 AM
■Awali akisoma mashtaka mahakamani hapo, Mwendesha Mashitaka wa TAKUKURU,Bi.Mapunda alisema washitakiwa walipewa dhamana ya kusimamia manunuzi ya mahindi ya NFRA mwaka 2021, ambapo katika manunuzi hayo walitumia nyaraka kufanya manunuzi hewa ya shilingi 5,219,480| https://www.diramakini.co.tz/2025/06/afisa-ubora-wa-nfra-na-wenzake-watatu.html
❤️ 🙏 2

Comments