TAKUKURU

TAKUKURU

59.5K subscribers

Verified Channel
TAKUKURU
TAKUKURU
June 20, 2025 at 09:41 AM
■Akisoma hati ya mashtaka Mwendesha mashtaka wa TAKUKURU,Bw.Faustin Mushi amesema, washtakiwa walitumia nyaraka za hati ya malipo kuonesha kuwa gari la Hospitali ya KKKT iliyopo Orkesumet limepelekwa gereji na kufanyiwa matengenezo ya shilingi milioni 6,163,000 huku wakijua kuwa gari hiyo haijafanyiwa matengenezo| https://www.diramakini.co.tz/2025/06/fundi-makenikamhasibu-wa-hospitali-ya.html

Comments