Jance Media📡 🔵
June 14, 2025 at 10:15 AM
Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania haitapangua ratiba za mechi nyingine za Ligi Kuu ya NBC.
Timu zote zitamaliza Ligi Juni 22 isipokuwa Simba na Yanga ambao watacheza mechi yao ya mwisho Juni 25.
Mechi za Simba na Yanga za Ligi Kuu ya NBC kabla ya Dabi Ya Kariakoo Juni 25:
🗓️ Juni 18
Tz Prisons 🆚 Yanga - Mbeya
Kengold 🆚 Simba - Tabora
🗓️ Juni 22
Yanga 🆚 Dodoma Jiji - Dar
Simba 🆚 Kagera Sugar - Dar
Msimamo wa Ligi
1️⃣ Yanga - Pts 73 (GD 61)
2️⃣ Simba - Pts 72 (GD 52)
😢
❤️
3