
Jance Media📡 🔵
June 17, 2025 at 06:44 PM
CHUKUA HII..............⚠️🔥😂
YULE MPUUZI HUYU HAPA AISEE 😂🙌🏾
Anaitwa Julian Richings raia wa Uingereza mzaliwa wa mwaka 1956, jamaa unaambiwa anachezaga movie za kutisha tu (Horror movies) huyu ni mzee wa kazi chafu sio mtu kucheza movie za mapenzi na kulamba lips kama kina Mlela au Hemed PhD.
Jamaa balaa lake kwenye WRONG TURN nadhan mlioitazama movie hiyo sina haja kumuelezea kiufupi jamaa anavaa uhusika hadi anakera huenda baadhi mnamchukia ila ni maigizo tu mwamba unaambiwa kwenye maisha ya kawaida ni mtu poa kabisa
Amecheza zaidi ya movie 250 hadi sasa ambapo ni mzee wa miaka 68
HUYU FAZA MOVIE ZAKE HUWA HACHEKI HACHEKESHI NI 🔥😂👊🌹

👍
1