Jance  Media📡  🔵
Jance Media📡 🔵
June 19, 2025 at 10:51 AM
Baada ya michezo ya mzunguko wa 29 kupigwa hapo jana, Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Jean Charles Ahoua ameendelea kushikilia usukani kwenye orodha ya wafungaji Bora Ligi Kuu NBC mpaka sasa, akifunga goli moja hapo jana kwenye ushindi wa 5-0 waliyopata wababe hao wa Msimbazi. Licha ya ushindi mnono wa bao 5 waliyopata Young Africans, ila washindani wake washambuliaji Prince Dube na Clement Mzize hawakufanikiwa kutikisa nyavu. Hii ndio orodha ya vinara wa mabao Ligi Kuu NBC 24-25 hadi sasa; 🇨🇮 Jean Ahoua: 1️⃣6️⃣ 🇹🇿 Clement Mzize: 1️⃣3️⃣ 🇿🇼 Prince Dube: 1️⃣3️⃣ 🇨🇲 Ateba: 1️⃣3️⃣ 🇬🇭 Jonathan Sowah: 1️⃣2️⃣ 🇺🇬 Steven Mukwala: 1️⃣2️⃣ 🇨🇮 Pacöm Zouzoua: 1️⃣1️⃣ 🇬🇲 Gibril Sillah: 1️⃣1️⃣
Image from Jance  Media📡  🔵: Baada ya michezo ya mzunguko wa 29 kupigwa hapo jana, Kiungo mshambuli...
👍 😢 2

Comments