INTELLIGENCEFX
INTELLIGENCEFX
June 4, 2025 at 04:46 PM
Tunaendelea pale tulipoishia! 🔥 LET’S IMPACT MILLIONS - Documentary | EPISODE 3 🔴 LIVE on YouTube | Saa 3 usiku Hii siyo episode ya kawaida… ni episode ya moto sana unayotakiwa kuitazama ukiwa na notebook na kalamu mkononi! 📓🖊️ Katika hii sehemu ya tatu, tunamkaribisha @cheleofx ambaye amefunguka kwa undani kuhusu safari yake ya forex trading na maisha kiujumla. Ameeleza struggles alizopitia, namna alivyokutana na ukuta wa changamoto, na mbinu alizotumia alivyozishinda. Ameenda deep zaidi • Njia alizotumia kutoka kuchanganywa na hasara mpaka kuwa profitable • Mbinu za ku-maintain consistency • Namba anavyoweza ku-controll emotions • Lessons za maisha zinazohusu njia za kujenga nidhamu, uthubutu na focus Kama unataka kufika mbali kwenye trading na maisha kwa ujumla, hii episode ni lazima uione. Imejaa gems, wisdom na mbinu ambazo zinaweza kubadilisha direction ya maisha yako. 🧠 Jiandae ku-experience vitu ambavyo hujawahi ku-experience popote. ⟶ Click link kwenye bio au tafuta “IntelligenceFx” YouTube ⟶ Subscribe, turn on notification, ⟶ Tazama episode zilizopita huku ukisubiri masterpiece hii ya tatu! Our mission is not just to trade… Our mission is to IMPACT MILLIONS. https://www.instagram.com/reel/DKfAejAqjjJ/?igsh=eWh6bzhmMzlybnBv
🔥 ❤️ 👍 🙏 10

Comments