
INTELLIGENCEFX
June 18, 2025 at 03:00 PM
Hata kama upo kwenye mazingira magumu kiasi gani kama una-focus kufanya vitu sahihi ipo siku utapata matokeo makubwa,
Lakini pia kwa ndugu zetu ambao mmejaaliwa kipato kiasi, mnaweza ku-afford kuwa na laptop chuo au kazini, access ya kuwa na internet itumieni vizuri hiyo neema, hata kama sio trading find another high income skills ujifunze - usiishie kuangalia movie, kucheza ma-game na kufanya vitu ambavyo havina msaada kwenye maisha yako,
Dunia imebadilika na inaendelea kubadilika kwa kasi, epuka kuja kusema “ningejua mapema” mapema ni sasa,
https://www.instagram.com/reel/DLC82ekqhRK/?igsh=ejB5dmgwZGF2czNu
❤️
👍
✊
🙏
🏳
💪
💯
📌
23