
English with Manny
May 30, 2025 at 02:51 PM
*R.I.P Legendary Ngugi wa Thiong'o*🙏
https://youtube.com/shorts/8Lzf00nUhMA?si=fAiGRTbu5zTvbiMA
> Alimulika taa kwenye giza, japo wapenda giza hawakufurahi.
> Aliamua kuwa mkweli hata kama alikuwa katikati ya waongo watupu.
> In 'I Will Marry When I Want', he taught us that 'Forced Marriages' are unlawful and calamitous.
> Wanafasihi mnaelewa sana maana ya 'Forced Marriages'. 🙏