Ajiraforum
Ajiraforum
May 31, 2025 at 09:11 PM
Usijali kuhusu wale wanaokuhukumu kwa makosa ya jana. Hakikisha tu hurudii makosa hayo leo. Kesho waache washangae.. *Sahau kosa, kumbuka funzo.* ❤️👍🏻 > Nawatakia Usiku mwema Fam❤️
❤️ 🙏 7

Comments