
Ajiraforum
June 2, 2025 at 05:19 PM
“Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kulipa posho za waheshimiwa madiwani, posho za waheshimiwa wenyeviti wa Serikali za vijiji na mitaa, lakini tutaendelea kuona uwezekano kwa kadri ya uwezo wa serikali, namna ambavyo halmashauri zitaboresha posho za wenyeviti wa vijiji.” – Dkt. Festo Dugange, Naibu Waziri TAMISEMI
