
Exim Bank Tanzania
June 13, 2025 at 07:21 AM
Asanteni sana wananchi wa Kahama, Mtwara, Mbeya na Dodoma kwa kujitokeza kwa wingi katika kampeni ya uchangiaji damu ❤️🩸
Ushiriki wenu umeonesha mshikamano, upendo na uzalendo wa kweli. Mmechukua hatua ya kuokoa maisha na kuleta mabadiliko chanya katika jamii.
🩸 Leo mmechangia damu – mmeleta matumaini na kuokoa maisha.
