Exim Bank Tanzania
                                
                                    
                                        
                                    
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                June 17, 2025 at 09:17 AM
                               
                            
                        
                            Mfanyabiashara, Lipa ChapChap ni suluhisho sahihi kwa biashara yako!
Wasaidie wateja wako kuokoa muda na kuepuka usumbufu wa chenji.⏱️💸
Lipa ChapChap hukuwezesha kupokea malipo kutoka mitandao yote ya simu na benki, bila makato yoyote kwako! ✅
💼Rahisi. Haraka. Salama.
Jisajili leo kupitia tovuti yetu 👉www.eximbank.co.tz
Au wasiliana nasi bure kwa 📞0800 780 111 kwa msaada au maelezo zaidi.