Exim Bank Tanzania

Exim Bank Tanzania

8.8K subscribers

Verified Channel
Exim Bank Tanzania
Exim Bank Tanzania
June 18, 2025 at 02:44 PM
Unaweza kuvutia wateja kwa bidhaa bora na matangazo mazuri, lakini kama huduma ya malipo ni ngumu au haieleweki, unajiweka kwenye hatari ya kuwapoteza. Jiunge na huduma ya Lipa Chapchap leo, pokea malipo kwa urahisi, wateja wafurahie huduma Sajili kupitia https://www.eximbank.co.tz/sw/personal/ways-to-bank/lipa-chapchap leo au piga simu bure kupitia 0800 780 111.
Image from Exim Bank Tanzania: Unaweza kuvutia wateja kwa bidhaa bora na matangazo mazuri, lakini kam...

Comments