
Exim Bank Tanzania
June 19, 2025 at 08:33 AM
Kama umeshawahi kupata huduma za Exim Bank kupitia Wakala wetu basi utakuwa umegundua kwamba ni njia rahisi ya kupata huduma za kibenki.
Gusa Link Hii kuona Wakala aliye karibu yako:
https://www.eximbank.co.tz/en/locate-us?locator=agents
Unaweza kuwasiliana nasi bure kwa 📞0800 780 111 kwa msaada au maelezo zaidi
