
KUKUA PAMOJA TANZANIA
May 22, 2025 at 07:21 AM
Ndugu mdau wetu, Tunaposherehekea kutimiza miaka mitatu ya taasisi yetu, tumeandaa matukio matatu ya kijamii, ambayo yanaenda sambamba na kuigusa jamii moja kwa moja. Tunakukaribisha kuungana nasi ili tuweze kufanikisha jambo hili. Wasiliana nasi sasa ili uweze kushiriki

❤️
😮
🙏
11