
THE JKUAT LENS:::Quad Chronicles...juja Vibes💯🔥
June 13, 2025 at 07:52 PM
🔥 SECRETS 🔥
SEASON 7 🔥
EPISODE 09&10🥳
Me : Jipange..call Vincent and Latif mfike huko nitawaambia cha kufanya
Shown : Boss hii hapana..this is a personal matter na hatuwezi jua huyo kidnapper amejipanga na silaha gani
Me : Wacha uoga Shown tumefanya mambo kama hii mingi..wewe nitumie hio location na mfike
Me : The police guy has called me ati wamepata Intel penye mtoto anaweza kua
Loise : Tuende
Me : Tulia..naenda kukuja na mtoto..mkae hapa
Nikatoka mbio na dinga kufollow hio location. Ikanirudisha kwa ile town nilikua nakaa zile masiku. But sasa kwa outskirts kiasi. Nikafika kwa shop nikasaka ile kofia ya muslims na kanzu nikae different In case Lizz akue ananifata asijue ni mimi. Nikaficha dinga nikatoka kaguu. Nikafika mahali nikachill mbali kiasi na hio gate ju kwa map ilikua inaonesha ako kwa estate hao flani hapo na kwanza perimeter wall ni ndefu. Kina Shown wakaingia nikaona wakafika kwa gate wakachoka tu💔. Akanicall 💔
Shown : Boss hapa tunaingia aje..gate kubwa kama mawe na perimeter wall nayo ni ya kimataifa na kuna soldier💔
Me : Waah..tokeni mrudi usiku hata kama huyo soldier atafinywa staki kujua
Shown : Boss hapo hap...
Me : Shown unataka tuanze kubishana?
Shown : Hapana boss I'm sorry
Me : Yeah fanya vile nimesema
Nikarudi tao manze nilikua hata sina nguvu. Tresh akacall 📱
Tresh : Carl ni mambo gani hii Stesh ananishow
Me : Gani
Tresh : Ati mtoi amelost
Me : Manze but makarao wanasema wamepata Intel
Tresh : Aki pole Carl..nikitoka job nitapitia huko
Me : Poa but haujui penye anakaa..hakai kwangu alihama
Tresh : Alisema atanitumia location
Me : Poa
Shown akacall tena
Me : Yesh
Shown : Niko na idea Ras
Me : Gani
Shown : Nataka kucall kwa police station using an anonymous number niwaambie there's a kid amekua kidnapped na akafichwa mahali flani flani nidanganye kuna child trafficking inafanyika kwa hii nyumba then wewe utachukua mtoto kwa police station useme alikua amepotea
Me : Baas hebu jaribu tuone kama itawork
One thing nilikua nimesema sirudi bila mtoi💔. For the first time nikaomba God. Nilikaa kwa dinga nikaambia God akam through manze mtoi atoke kwa Lizz. Lizz mwenyewe akacall 📱
Lizz : Carl unajua kitu mungu alinibariki nayo ni ati alinipea akili ya ujanja kama ya mamangu..
EPISODE 10👑
Me : Baas hebu jaribu tuone kama itawork
One thing nilikua nimesema sirudi bila mtoi💔. For the first time nikaomba God. Nilikaa kwa dinga nikaambia God akam through manze mtoi atoke kwa Lizz. Lizz mwenyewe akacall 📱
Lizz : Carl unajua kitu mungu alinibariki nayo ni ati alinipea akili ya ujanja kama ya mamangu..
Me : What about that
Lizz : Just know that
Me : I want my kid Lizz
Aka hang-up tena. Nilikaa kwa dinga kama one hour hivi. Shown akacall 📱 nikaomba tu mungu wakue wamepata mtoi
Me : Amepatikana?
Shown : Makarao wamekam wakaingia ndani hakuna mtu huishi hapo.. soldier anasema hizo ni Airbnb's za kuhire na the last time msee alilala hapo ni two months ago
Me : Alaa💔😥
Shown : Yeah sasa sijui my hacker guy alifanya kazi gani
Me : Tell him to refund the money
Shown : He can't bro.. alifanya kazi pia sio mchezo
Me : Lakini hapana buda..hebu chunguza huyo soldier
Shown : Tulikua tumetoka but wacha turudi
Me : Mchunguze tu.. maybe yeye ndo ako na hio simu
Shown : Sawa
Nikachill pale kwa dinga. Shown akacall 📱
Shown : You were right boss..ni soldier amekua na hio simu..nimecall ikaring hapo kwa hio stall yake akakataa kupick..so this means the person who has your kid ako tu within and he/she is watching us
Me : 🙆🙆🙆💔..jifiche tu hapo usitoke..let me call again then uniambie ni nani atareceive
Shown: Poa
Nikacall. Akapick
Me : Lizz kwani uko wapi
Lizz : Unataka nikue wapi.. I told you ni mimi ndo nitaamua siku na saa utakuja.. I'm the only one who can tell you where i am
Aka hang-up karibu nichizi. Nikacall shown
Me : Mumeona?..ju nimecall akareceive
Shown : I think this is bigger than us boss.. phone ya soldier haijaring💔
Me : Ooh fkk alidivert calls zenu ziende kwa huyo soldier💔.. she's working with an expert this woman
Shown : Boss sijui nakusaidia aje sasa
Me : Go home shown
Shown : Okay
Giza ilikua imeanza kushika manze. Loise akacall
Loise : How far?..we are worried
Me : Hold on a bit Loise..we are working it out
Stesh : Heey umefikia wapi
Me : I'm almost
Stesh : Tresh is here
Me : I'll talk to her nikirudi
Manze niliishia nikapack dinga nikasaka house to late nikadoz. The following morning nikaamka. Lizz akacall 📱
Lizz : How's the condition of the lodging?
Me : Lodging gani
Lizz : Penye umelala
Me : Wait so you have been stalking me?
Lizz : Soo do this..meet me at the hotel behind that building penye uko..meet me alone right now as we are speaking
Me : Umekuja na mtoi?
Akakata call. Nikacall slim
Me : Hey man
Slim : Mkubwa
Me : Niko kwa critical condition mahali hapa kidogo inakaa mbali so if things get out of hand I'll send you a message uambie Shown watrack simu yangu mkuje penye niko
Slim : I'm scared boss
Me : Just do what i said
Slim : Okay
Nikatoka. Nikafika kwa hio hotel hata hakuna dalili ya Lizz. Kiasi hivi mtu akaniguza mabega. Kupenduka napatana na Lizz
TO BE CONTINUED 🔥