
THE JKUAT LENS:::Quad Chronicles...juja Vibes💯🔥
June 15, 2025 at 06:01 PM
🔥 SECRETS🔥
SEASON 07🥳
EPISODE 11&12🌠
Me : Where is my son
Lizz : Kaa chini na utulie
Me : Okay but where is he?..we can talk about this Lizz.. remember the way you used to love me baby what changed
Lizz : Say what?🤔💔..baby?..nakaa mtoto kwako.. you killed my entire family Carl💔..
Me : Lizz your dad was playing your mum.. your mum was playing your dad.. your dad threatened me ati nikisema affair yake na Tresh ataniua
Lizz : Save your words i know that...so this is the thing..give me Tresh and I'll give you your son
Me : Unaenda tena..wait..
Lizz : Nini
Me : Naweza pata mtoto sahi?.. Tresh naweza kupea hata sahi.. kindly i need that kid today mamake ataniua💔
Lizz : How does it feel Carl?..hata heri yeye ako na mama..na mimi?
Me : Lizz tupatane wapi nikupee Tresh na wewe unipee mtoi
Lizz : I told you ni mimi nitakua naamua penye tunapatana na saa ngapi so for now I'll advise you to go home.. and if you continue sending people after me then the spirit of your son will hunt you down.. just tell me where she is and I'll give you your son
Me : Don't touch him😡
Lizz : Kama sio Tresh my dad angekua hai sahi na Steve hangekua life imprisoned
Lizz akatoka akapotea nikamfata haonekani manze💔. Loise akacall 📱
Loise : Hapana..sasa wewe umezidi..uko police station gani nikuje huko
Me : I'll call you I'm driving
Nikajipiga kwa dinga nikatoka. But nikashuku naweza fatwa so nikatumia a different route nikaona nyuma kuko clear. Sasa hapa kisubmarine nikajipata kwa dilemma. Kupeana Tresh manze ilikua ngumu sana but sasa hapa we are talking about my son manze..wanasemanga you can do anything for your family jooh. Nikafika kwa Stesh
Loise : Hajapatikana?
Tresh : Carl mtoi bado?
Me : Yeah wanafanya uchunguzi.. in the meantime wamesema turelax they'll update me
Manze niliangalia Tresh hadi nikatokwa na machozi😥💔. Kupeana Tresh hio inamaanisha anaishia kumadwa💔. Na the more nadelay the more Lizz anaweza geuzia mtoi wangu. Na nikimchocha anaweza nigeuzia tena💔. Sasa hapa sijui naanzia wapi. Tulikaa hapo for two days kama bado napanga vile nitafanya💔
Usiku sasa tukiwa na Stesh bedroom
Stesh : Babe hazel hajaenda shule for three days💔
Me : Anaweza enda kesho..makarao wanasema mambo sio mbaya
Stesh : Na Carl..hebu kua honest na mimi uniambie ukweli penye mtoi ako..najua maybe unaweza kua ulikua unaogopa kuambia Loise but najua huwezi nificha
Me : Sijui penye mtoi ako babe
Shown akacall 📱. Ilikua 10pm. Nikatola bedroom
Me : Hello
Shown : Boss my life is in danger
EPISODE 12🌠
Me : How?
Shown : Nimekua natoka shopping with my wife then kuangalia nyuma nimefatwa..so mimi ni ka assume..kufika kwa nyumba napata a note kwa mlango..wale majamaa wanataka mwili ya mwenzao
Me : Wait 🤔💔..majamaa wagani
Shown : Wale tulimaliza mwenzao juzi..wanasema hawataki mambo mingi they just want the body of their guy..wanataka mwili ati nikiwapea mwili they'll leave me alone..hata sijui walijua aje kwangu💔
Me : Hio siku they followed you hio nayo ni lazima..haukua keen bana💔
Shown : I was very keen boss..help me boss
Me : Wife amejua ama?
Shown : She knows.. she's scared hata ako hapa.. Shilla bring my phone back
Shilla : wewe ndo umeweka bwanangu kwa hii shida zote💔..i told him to stay away from you now you are going to ki.ll us all💔
Me : Madam..madam come down I'll make sure nyinyi wote mko safe i promise
Shila : Wewe jambazi kaa mbali kabisa na family yangu😭😭..na ukiendelea I'll report your criminal activities kwa polisi
Shown : I'm sorry man she..
Me : What did i tell you man..no one should know about this business
Shown : My wife hukua secretive Ras..he can't rat us out
Me : We are crimi.nals Shown..we are ga.ngsters you can't involve your family into this..what were you thinking man
Shown : I had to bro💔.. alikua ananichunguza daily tunakosana akiniuliza mbona nalala nje, mbona nafanya kazi hadi late na mbona narudi na cash kibao..i love her bro
Me : You have fkkkd up
Huyu jamaa nikajua anaweza niseti hata ni poa hajawahi niona
Me : Now what are you going to do ju hii mess ni wewe umeleta
Shown : For the time being nataka niende mbali kiasi mambo ipoe.. I'm giving myself a break
Me : Nani amekupea ruhusa ya kujipea break Shown.. I'm your boss
Shown : I know man but my life is involved man..i ki.lled someone bro.. you didn't 😥..nataka nitoke before my wife areport hii issue kwa police na italeta shida kubwa sana
Me : Don't get out of town
Shown : Ndo niuwawe😥💔
Me : You are covered bro
Nikakata nikacall slim
Me : Slim
Slim : Yes mkubwa
Me : We have a small problem..ulejamaa shown aliua wenzake wamerudia mwili
Slim : Whaaat kwani wanataka kukula?
Me : Heey no jokes..tafuta three guys natuma pesa..si unajua kwa Shown?
Slim : Yeah
Me : Mfike huko waweke security for the whole night lakini Shown asijue..then from tomorrow morning nitajua cha kufanya
Slim : Boss Shown is a coward..ni muoga sana na if this guys push him to the corner ataropokwa.. let me end this boss
Me : Shown has a wife and a kid man.. relax ni mimi najua cha kufanya
Slim : Yeah boss lakini this will put our business at risk💔
Me : Just relax
Slim : Okay boss on it wacha tufike huko
Huyu manzi ya shown alikua anajua everything kutuhusu ju Shown aliraruka mdomo hawezi weka siri na vile nilikua namuaminia. Slim akijua hio part anamaliza hio family mzima ju ni mse hanaga huruma hata kidogo. Tukadoz. Loise alikua anadungia nguo za Stesh ju hakurudi kwake. The following morning nikaamka mapema sana. Nikacall slim
Me : Bro is everything clear?
Slim : Yeah my guys waliweka ulinzi nothing suspicious
Me : Good🔥.. wanaweza toka sasa
Nikacall shown
Me : Yooh
Shown : Boss
Me : I covered you for the whole night..so leo usitoke..mtoi asiishie shule kaeni tu indoors kama ni house supply mtaletewa
Shown : They're here man😥..tuko nao kwa nyumba💔
TO BE CONTINUED 🦋
REACTIONS😫🤲🏽
👍
1