THE  JKUAT LENS:::Quad Chronicles...juja Vibes💯🔥
THE JKUAT LENS:::Quad Chronicles...juja Vibes💯🔥
June 20, 2025 at 07:24 PM
👑 SECRETS 👑 SEASON 07 🦋 EPISODE 13,14,15,16,17🔥 Me : Whaat💔 "My guy..sisi hatuna ubaya..tunataka tu mwili ya Johnson then we'll head out you know your friend here messed with the wrong guys" Me : I'm the boss here.. shown is innocent kama ni mwili ni mimi inafaa niwapee sio yeye "He kill.ed one of our own..a teammate..we just want the body man.. for burial the family is waiting" Me : Or else? "Or else your little friend here will follow the teammate" Me : Huyo mse ndo anajua penye hio mwili iko..mkimuua mtaipata aje? "If he doesn't speak then we'll kill the wife, kid and your friend" Mambo ilikua inanisugua vibaya hadi natoka unga💔. Nikacall mse alinipea hio gig hakupick. Hapa sasa mse anaanzia wapi. Nilikua confused vibaya sana. Na hawa majamaa hata sio mwili wamekujia ni vita. Na kwanza wakijua mwili tulizika si itakua mbaya💔 "Mkitupea mwili sisi tunatoka" Me : Tokeni hapo nitawapea direction penye mwili iko "Aah aaah..we don't work that way.. tunaenda na yeye moja kwa moja mpaka penye mwili iko.. and we'll advice you to accompany us since you are the boss who ordered everything" Me : Okay give me a minute nakuja Nikacall slim akaita kina Vincent na Latif wakajipanga wafike huko Slim : Boss pia i have some extra men tunataka tumwagike huko kama mvua Me : Mrukie kwa fence hata kama ni ndefu..i know these perimeter walls..fagieni hao watu kabisa Slim : Poa Roho ilikua inapiga laps kwa chest inaingia kwa haga💔. Nilisweat hadi ikabidi nifike bathroom nikae tu huko. Mambo ilikua imekataa kuingiana kabisa. Lizz akacall Lizz : The clock is ticking Carl.. you have 12 hours to surrender Tresh or esle your son will die instead of Tresh..mtoto wako atabeba msalaba ya thambi zenu Me : Relax Lizz I'll tell you as soon as possible Lizz : Harakisha ju sijapea mtoto wako Supper jana usiku na breakfast sijampea..no lunch..no anything hadi huyo Tresh apatikane Manze mtoi wangu alikua anasuffer thambi hadi sio zake💔. Slim akacall 📱 Me : Hey man kumeendaje? Slim : Vincent is no more man😭😭😭..tumepoteza Vincent.. things went overboard hawa majamaa walikua wawili na moja alikua kwa mlango.. Vincent kuingia akajengwa risasi ya kichwa..vurugu ikatokea we managed to kill them lakini mambo sio mazuri Me : Oooh nooo😭😭💔 Slim : Now we are stranded na maiti ya watu watatu.. Vincent has a girlfriend.. who's pregnant too sijui ataambiwa nini Ras mi sijui naanzia wapi💔..bibi ya Shown anataka kuita makarao Me : Tell her no ..ataharibu kila kitu Slim : Mwili ya Vincent inafika aje kwa manzi yake bro💔 Me : Bro my kid was kidnapped I'm going through a lot Slim : Sasa mimi nifanye aje bro akili imesimama you are the boss here niambie cha kufanya before mambo izidi kua mbaya💔.. but one thing i know man is that Shown is bad for business kuanzia sahi..his wife is a threat.. you need to do something Me : I'll handle that..so do this..hao makauzi wawili mnaweza beba kwa boot mpitie vichoriro wazikwe mahali abandoned usiku then for Vincent wrap his body well mpeleke morgue Slim : Bro morgue tutaulizwa alikufa aje..wakiona shimo za risasi the feds are on us💔 Me : Hatuwezi tupa mwili yake..Vin was one of us..pay some dudes wale wanajiaminia wafikishe morgue waseme wameokota kwa njia..then call his girlfriend using anonymous number mwambie Vin ako morgue and hang up Slim : This is painful bro😭 Me : I know man but another thing..huyo wife ya shown asiwachwe solo she can do something stupid Slim : Bro Shown anataka kuhepa na sijui anataka kuenda wapi Me : Hakuna mahali anaweza enda..his phone is tapped I'll track him..wewe fanya vile nimesema Slim : Okay Akili ilikua inazunguka kama Thika superhighway💔😭. Mabadae hivi nikasema wacha nitoke nifike club nitoe stress na kikombe🥃🫗. Nikapitia filling station niweke fuel. Being Ras was more than one can think. Usiku na mchana uko worried na stress lakini i had to take the bullet ju being Ras comes with a prize. Nikiwa hapo nikatoka nibuy painkillers pale kwa pharm. Kutoka hivi mtu akaniita 'Ras' EPISODE 14🔥 Kugeuka napata ni Shown🤦💔💔💔 Me : Who is this..do we know each other? Shown : Boss it's you..ni wewe..my guy has hacked into your line nikakutrack it took him days toka juzi na leo ndo alimanage.. I'm shown boss..i had to man..i had to trace you in person ju sahi maisha yangu imegonga ukuta Me : I don't know you and I'm not Ras hata sijui huyo ni nani Shown : This is you boss..wewe ni Ras Akatoa phone yake akanicall ikaingia 💔 Shown : I told you😳..boss nimetamani sana kukujua.. ilibidi nikutrack ju my life is in danger help me boss..my wife wants to rat me out..she wants to leave with my kid..anataka divorce Jamaa akafanya one bad mistake. Mimi haifai anione sura. Hio ni kama umeregister for a lethal death sentence na hakunaga huruma ama plan B Me : Let's get into the car i don't feel safe out here Shown : Thank you so much boss..hata siamini ni wewe..i used to think uko na rasta..some kind of locs Me : You talk a lot in person Nikafunua dashboard pole pole nikona gun yangu iko penye hua naficha Me : So wacha tuende kwa a safe place somewhere we can talk unajua mambo imekimbia sana hii wiki Shown : Yeah boss it has been a h.ell of a week i have seen four dead bodies this week..sijai amini naweza ua mtu kwa maisha yangu..nafeel tu damu ya huyo mse iko kwa mikono yangu💔 Me : That's how it feels at first Nilikua nabonga tu kama nimechill sina noma. Nilikua nadai nisake place wasee hawawezi skia risasi ikilia ju enyewe hapa ilibidi niweke maisha yangu mbele. Hakuna vile huyu mse anaweza niona sura anijue na vile bibi yake hajui kuweka siri. Akajibongesha hapo so nikafika place flani kwa outskirts kuna gorofa haikumalizika kujengwa na imechapa na hakuna wasee hukaa hapo. Jamaa alikua amefurahi amejua mkuu face to face kumbe ni kuona kifo na macho Shown : Boss huku ni wapi Me : I want to show you something Akaogopa but tukaingia. Nikaweka bunde steady kwa mfuko nikacock. So nikachomoa kupull trigger. "DON'T" Kugeuka nione ni nani amesema don't nikapatana macho kwa macho na CLIFF💔 Episode 15🔥 Nilishtuka hadi kidole ikaisha nguvu ya kupull trigger 💔. Huyu mse i thought alikufa but niggah is still in around💔 Me : You son of a b... you died😳💔 Cliff : Come down Carl i need you to calm down and listen to me..weka hio bunde chini Me : Nitakushoot😳💔 Shown : Ras what's going on man..nimekufanyia risky jobs bro hatujai kosana..why are you on my back now bro🥹..mbona uniue bro Me : Nyamaza💔.. you messed up everything Nikapoint bunde kwa kichwa ya Cliff. Kisubmarine nilikua nimechemka ju nakumbuka last time Cliff aliruka kichwa na akapotea then nikaambiwa alikua eliminated💔 Cliff : Carl.. don't do this..i can help you to make this guy disappear the way i disappeard..no more blood man I'll explain this later Me : Naah.. you are going down man..Denno alikuja tu na hii maneno ati i want to help you.. kidogo hivi he's on my neck anataka kuniua.. listen Cliff kila kitu niko nayo sahi ni sacrifice yangu.. from top to bottom.. you are in the wrong street man hapa sio kwa Chris ama Sandy ama Steve..this is my street yooh Cliff : Save your energy bro i know everything Me : You know nothing Cliff akarukia bunde yangu nikamrukia ikabidi ngumi zitembee💔. Shown akarukia kwa window kama amehepa. Tukamfata manze jamaa alikua anasonga kama farasi💔. Akaingia forest flani ilikua by the roadside Me : This is your fault..huyu mse ameniona sura he needs to go down Cliff : Carl this is not you man..kumbuka ukinipromise no more blood bro..i know you Carl you are a good guy you can't kill Me : Wewe mambo yako staki just leave man Cliff : Sijakuja kukua partner kwa mambo yako ama ati nikuombe kazi..but the Simons are on you bro... Steve alikua imprisoned for life but hio haimaanishi it was over..bado wana communicate na siz yake..Lizz has your kid bro.. you need me Me : No man..sikudai bro so we bounce Cliff : You can't do this a lone Carl mimi na wewe tunajua hivo Me : Siwezi trust anyone mwenye alikua anafanyia Ras kazi.. you knew everything lakini ukanificha Cliff : They were coming for me bro Me : Ni nini ilihappen hio time ukajifanya kichwa inaruka then ukapotea Cliff : But nakumbuka before that nilikupea hints.. you know me bro mimi sio Denno..ni mimi nilikuweka kwa deals.. things got bad ikabidi nijitoe Me : Staki maneno yako mob..a guy is on the run right now i need to catch that stupid guy ameniona uso Cliff : Hakuna penye anaenda..i have been in this town for two months Carl Me : Whaat💔 Cliff : Hakuna penye anaenda bila wife na mtoi wake Me : Ati? Cliff : Carl unajua I'm very smart..najua kila mtu mwenye anakufanyia kazi.. Slim, huyu Shown, Latif... and the dead Vincent Me : Buda chill..ulijuaje😳.. I'll shoot you man Cliff : Chomoa gun na tuko kwa njia uone kama haulali ndani..i have his wife and the kid..so hio inamaanisha huyu mse bado ako hii town na place anakimbia sahi ni kwake and you know what? Me : What Cliff : My guys got him.. Shown has been spying you Carl..leo sio siku ya kwanza Shown kukuona so i knew this Me : How Cliff : I followed him hadi kwa the tech guy wake, gave him some few coins akaniibia siri that shown is trying to trace someone.. nikajua ni wewe so hata siku yenye Shown ilifaa akupate, which is today..nikasema let me play smart ju nilijua the first reaction ni kuua Shown Me : Nyamaza manze Cliff : Makosa ulifanya Carl ni hii, you chose cowards..uliweka waoga kwa kazi..hizi deals zinataka tough guys mtu ametandikwa na maisha akachizi 😂💔 EPISODE 16🔥 Me : What's funny man Cliff : You need a strong backup kutoa mtoi kwa Lizz..anataka nini in return? Me : Anataka Tresh Cliff : Now that's a problem Phone ya Cliff ikaring Cliff : Hello Denzel..ooh mumeshika?..alikuja kwake ama...ooh sawa just hold them up nakuja Cliff : They have him Me : What next Cliff : Najua haunitrust but nitafanya apotee yeye na family yake kama vile mimi nilipotea.. story for another day Carl nitakuambia kitu ilihappen kwa hio hosy but first let's deal with shown.. before kuharibike Me : I don't trust you Cliff : You are in a desperate situation Carl upende usipende itabidi.. let's move Tukarudi kwa dinga nikadrive hadi kwa gate ya shown Me : Siwezi ingia Cliff : Ni sawa wacha nimlete tumake a deal Me : Why are you helping me bro? Cliff : You helped me man..kumbuka ni wewe solo ulinivisit hosy kama organization imenigeuka..relax Cliff akaingia huko ndani akakuja na shown tukaingia kwa dinga nikadrive hadi kitu kama 100 mitres Cliff : Okay shown.. you know you have involved yourself with the wrong guys na kwanza you were not supposed to see your boss.. for security reasons Shown : Bro hata nakupigia magoti please don't touch my family man😭 Me : That's why we are here..uligain nini after kuniona?..watu mnatakaga aje surely mse nilikua nakulipa tu poa sasa kuniona imekusaidia nini? Cliff : So i want to make you disappear for good from this town Shown : Broo no..i have a kid man Cliff : Wewe wife na mtoi mnatoka hii street sahi..umeleta I'd yako na ya wife vile nimesema? Shown : Yeah unataka kufanyia nini Me : Leta.. no one is going to die Cliff : Unless ukatae ku cooperate Shown : Ras i swear siwezi kuitia makarao Cliff : Hata ku mention makarao sahi ni kama treason leta id Shown : No.. Cliff : Okay.. Carl give me the gun Shown : Wait wait😭..shika ndo hizi Cliff : Well, forget about hizi I'd kuanzia leo you ain't shown.. you are going to leave town right now.. Carl let me make a call..Hello Denzel..ambia huyo wife wake apack kila kitu basic akae ready na mtoi tunamkujia..then call Phoenix tell her they're ready Cliff : So shown i wanna make you disappear..kama singekuja boss wako alikua amekuua.. it's for your own good Shown : What if i come back? Cliff : Haujui unadeal na nani infact you will never see this country again Shown : Ooh no😭 Me : Ni better than kukufa Cliff akatoka na shown. Dinga flani ikaingia shown na wife na mtoi wakatoka. Majamaa wa Cliff wakatoka kwa shown wakaishia. Cliff akarudi kwa dinga Cliff : Done🔥 Me : Look, thanks man but.. Cliff : No buts Carl..nimekusaidia sana..hizi I'd zao naenda kucrush Me : Whaat Cliff : Wanaenda kupewa fake IDs man relax Me : Unawapeleka wapi🤔 Cliff : We'll talk about it.. first i need a favor Me : Gani tena Cliff : I'm running my own organization lakini sina madinga..i just need like two.. and two drivers wanaweza fanya illegal transportation.. I'm hiring Me : Ati hiring😂😂😂💔..ngoja kwanza umekua wapi hii time yote Cliff : Sisi ndo tuliunda hii system Carl..najua backdoors zote na loopholes.. just like a computer software, hii organization ilikua na cheat codes na shortcuts..i was one of the people who designed that organization so walijua wasipo nimaliza i can overthrow them Me : Haunijibu bro.. umekua wapi Cliff : Wewe nifanyie favor yangu here's my number siwezi kuforce Carl but if you change your mind you can call me..kumbuka the more Lizz anakaa na mtoi wako anything can happen.. I'll help you take her down.. usisahau Steve is making moves najua hio haujui but prison haiko h.ell, iko hapa hapa.. Lizz ameamua kua cartel kama mamake so I'll advise you to be very careful..in this business you either end up in prison or die..hakuna option ingine hata wewe ujue siku yetu inakuja Carl..omba mungu ikupate ukiwa ready EPISODE 17🔥 Cliff akatoka akaishia💔. Kisubmarine manze nilikua nashindwa huyu mse amerudi kutoka wapi na anataka aje. Nilitrust Denno akanifinya hii nayo lazima nikue mjanja Nikatoka nikaishia home Soldier : Boss boss Me : Chill nimechoka Soldier : Boss kuna.. Me : Soldier wacha hizo tutaongea Mkuu kujipiga kwa hao napata makarao watatu 😂 💔. Kumbe soldier alikua anajaribu kunishow kimeumana mimi naye nimebeba kichwa nikaingia Stesh : Babe umekua wapi..we have been trying to reach you haushiki simu Loise : Imebidi niingilie kati nijue penye mtoto wangu ako Police : My friend..tunaambiwa kuna polisi umetuma watafte mtoto..ni police station gani ulienda Me : Ooh yeah yeah.. central police station Police : Sisi ni wa central police station hata kwa files hakuna kesi kama hio imeletwa Mkuu niliparara uso ungethani nimejipaka jivu💔. Kidogo hapa mambo yangu inaweza chimba Me : I guess there was a misunderstanding lakini i did report the case..my son is missing man Police : Tumeambiwa kila kitu uchunguzi imeanza..so we will ask you to remain calm and update us on anything suspicious..haujapigiwa ama kupata message toka kwa mtu yeyote? Me : Hapana..bado Police : Okay Loise we'll do a follow up Loise : Thanks afande Makarao wakatoka wakaishia Loise : Carl do you really love your son?.. Stesh : Guys tukae chini tuelewane kitu moja..tuwache vita tuweke akili pamoja tusake mtoi.. Carl we are going into this full force hakuna kutuambia tutulie Loise : Carl hata sioni ukimake any efforts Me : Mngejua ile maneno napitia huyo mtoi apatikane nyinyi Stesh : Mtoi alipotea akiwa kwa mikono yangu..i called my dad amesema he'll help Me : Stesh Stesh mbona umeanza kuleta your parents into my issues Stesh : Mimi nataka kuona Rowlings hapa Phone ikaring. Nikatoka nje Me : Hello Lizz : You have two hours Carl..nataka Tresh i swear Carl nitakumalizia mtoto.. I'm killi°ng your son Carl..chagua between your family na huyo mal°aya wako Tresh TO BE CONTINUED 🔥 𝗥𝗘𝗔𝗖𝗧 𝗕𝗔𝗦𝗜😂
😂 1

Comments