Samawati Safari
Samawati Safari
June 17, 2025 at 07:52 PM
Sasa ili usipagawe nnapo sema Loba ya Capitoline au Lupa Capitolina kwa Kilatini ni mnyama wa hadithi za Kirumi anayewakilishwa kama mbwa mwitu jike au Canis lupus. Katika hadithi ya kuanzishwa kwa mji wa Roma, loba huyu alionekana kuwanyonyesha na kuwalinda ndugu mapacha Romulus na Remus baada ya kutelekezwa walipokuwa wachanga. Picha hii imekuwa ishara maarufu ya mji wa Roma na urithi wake wa kihistoria.
Image from Samawati Safari: Sasa ili usipagawe nnapo sema Loba ya Capitoline au Lupa Capitolina kw...

Comments