
Samawati Safari
June 18, 2025 at 08:46 PM
La Recta Provincia: Serikali ya Siri ya kichawi Ndani ya Kisiwa cha Chiloé nchini Chile.
🥤sehemu za kusini mwa Chile, hasa maeneo ya Chiloé Archipelago, kuna hadithi ya ajabu, yenye mizizi ya wachawi wa kale, ushirikina na imani za kina za watu waliokuwa na uwezo wa ajabu sana
🥤Asili ya La Recta Provincia ilianza karne ya 17, katika kisiwa cha Chiloé, kusini mwa Chile.
Wakati huo, makabila ya wenyeji waliitwa Huilliche, walikuwa na imani za nguvu juu ya mizimu, mapepo na wachawi.
🥤Wakati Waspaniola walipovamia eneo hilo, wakaleta dini ya Kikristo – lakini badala ya kuondoa uchawi, waliuchanganya na imani zao mpya. Na hapo ndipo ilipozaliwa jamii ya siri ya kichawi.
🥤Jamii hiyo ilijulikana kama La Recta Provincia – tafsiri yake ni “Serikali Sahihi.”
Lakini hakukuwa na chochote sahihi kuhusu serikali hiyo.
Fungua uzi hadi mwisho....... 🧵👇

❤️
1