
Samawati Safari
June 18, 2025 at 08:48 PM
🥤Mpaka Leo – Imani Haijapotea
Leo, watu wa Chiloé bado wana hofu na La Recta Provincia.
Wanakwepa kutaja jina hilo usiku.
Wanasema bado kuna familia zinazoendelea kutumikia.
Baadhi ya mashuhuda wamedai:
▪️Kusikia sauti za watu wakicheka pangoni wakati wa usiku.
▪️Kuona mwanga mwekundu kwenye misitu wakati wa miezi ya baridi.
▪️Kufuatwa na kivuli kizito cha kawaida.
Na mpaka leo, hakuna aliyeweza kuthibitisha wapi pango kuu la wachawi wa La Recta Provincia lilipo

❤️
1